RATIBA YA MKUU WA MKOA WA MBEYA AMOS MAKALLA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiwa na Katibu Tawala wa mkoa Mariam MtungujaTANGAZOMkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla anawatangazia wakazi wa mkoa wa Mbeya kuwa...
View ArticleHALMASHAURI ILIYODAIWA ‘KURAMBA’ MILIONI 50 YASHINDWA KUKOMBOA VITANDA VYA...
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya IyungaMkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akimkabidhi vitanda kwa ajili ya mabweni ya wanafunzi yaliyoteketea kwa moto Mwenyekiti wa Bodi ya shule ya...
View ArticleHUKUMU YA MUUAJI WA MWANGOSI, POLISI UTULIVU NI ZERO
BAADHI ya askari Polisi waliokuwepo ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Iringa wakati askari mwenzao Pacificius Cleophace Simoni akitiwa hatiani kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia ya...
View ArticleMWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE MBEYA ACHANGIWA KUPIGWA NA WALIMU
Majeraha yanayotokana na kipigo kinachodaiwa kusababishwa na walimu waliompiga mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Malama mkoani Mbeya.Muuguzi Mkuu msaidizi wa Hospitali Teule ya...
View ArticleTIB CORPORATE BANK YASAIDIA MILIONI 10 MADAWATI MKOANI MBEYA
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akipokea mfano wa hundi ya sh..mil 10 kwa ajili ya mchango wa madawati mkoani MbeyaMkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akitoa neno la shukurani baada ya kupokea msaada...
View ArticleKUPATWA KWA JUA KWAKUSANYA WATU WA MATAIFA MBALIMBALI WILAYANI MBARALI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Kanali Chiku Gallawa wakiangalia Kupatwa kwa Jua eneo la Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya leo asubuhi Jua limepatwa leo kuanzia...
View ArticleSERIKALI YAJIBU HOJA MUSWADA WA SHERIA UPATIKANAJI WA TAARIFA
#Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa utasaidia kuongeza uwajibikaji katika kutoa taarifa juu ya miradi ya maendeleo katika eneo husika.#Sheria hii itaondoa urasimu wa utoaji wa taarifa katika...
View ArticlePROFESHA LIPUMBA ADAI MAALIM SEIF NI MSALITI
Prof Lipumba akiteta jambo na aliyekuwa Mgombea Urais kwa vyama vinavyounga UKAWA Edward Lowassa Aliyekuwa Katibu Mkuu wa OAU Dkt Salim Ahmed SalimaProf Lipumba,(CUF) Dkt Slaa(CHADEMA) na Mwigulu...
View ArticleWAISLAMU MBEYA WAASWA KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Jijini Mbeya wakiwa katika ibada ya swala ya Eid El Haj kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.Ustadh idd Omar Pembe akiwahutubia waumini wa dini ya...
View ArticleMTOTO AACHA MASOMO ILI KUWASAIDIA WAZAZI WAKE WANAOFANYA VIBARUA MASHAMBANI
Mtoto Said(9) mkazi wa Suluti wilaya ya Namtumbo akiandaa chakula cha mchanaMaandalizi ya ugali kwa ajili ya chakula cha mchana yanayofanywa na mtoto Said mkazi wa Suluti wilaya ya NamtumboUgali kwa...
View ArticleMAISHA YA KILA SIKU VIJIJINI
Huduma mbalimbali za kijamii na mahitaji ya maji safi na salama ni moja kati ya mambo muhimu yanayohitajika katika jamii ya wananchi waishio vijijini, pichani ni baadhi ya wakazi wa wilaya ya Namtumbo...
View ArticleWENYEJI WAYAAGA MASHINDANO YA KUCHANGIA UGONJWA WA KISUKARI ZANZIBAR
Mratibu wa michuano ya maadhimisho ya siku ya Kisukari Duniani Waziri Mohamed Ngwangwa akimuomba katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Juma Malik Akili kuzikagua timu ya Wizara ya Kazi na Wizara ya Afya...
View ArticleMINAZI NA KOROSHO KUWA ZAO LA KIBIASHARA WILAYA YA NAMTUMBO
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Christopher KilunguMinazi zao ambalo Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo inataka kulifanya kuwa ni zao la biasharaMbali na minazi yapo mazao mengine ambayo...
View ArticleDC NAMTUMBO ATOA SOMO KWA WAKAZI WA WILAYANI KWAKE
Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Luckiness Amlima akisikiliza kero kutoka kwa mmoja wa wananchi wa mji wa Namtumbo alipozungumza na wananchi mwishoni mwa wiki.Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Luckiness Amlima...
View ArticleMSHITAKIWA WA KUCHOMA KUR ANI AANGUKA KIZIMBANI
Washitakiwa wa kesi ya kuchoma Kor an tukufu wakiingia katika mahakama ya hakimu mfawidhi wa wilaya ya Namtumbo kwa ajili ya kusomewa mashtaka ya kosa linalowakabiliMshitakiwa nambari moja wa kosa la...
View ArticleMSHITAKIWA MWINGINE WA KUCHOMA KORAN ADAIWA KUANGUKA KIFAFA, KESI KUANZA...
Mmoja wa washitakiwa akiwa ameanguka chini mahakamani kabla ya kuahirishwa kesi kwa mara ya kwanza, kesi inayowahusu imamu na mganga wa kienyeji wakishtakiwa kwa uchomaji wa Koran TukufuBaadhi ya...
View ArticleANSWAR SUNNA BAKWATA WAUNGANA
Baadhi ya waumini wa Kiislamu wilaya ya Namtumbo wakishiriki kwa pamoja kulima shamba kwa ajili ya kupanda Ufuta na MbaaziBaadhi ya akina mama wa Kiislamu wakiandaa chakula cha mchana wakiwa shambani...
View ArticleHUYU NDIYE ANTONY LUSEKELO (MZEE WA UPAKO)NILIYEMFUNDISHA KARATE 'GOJU RYU'...
Mchungaji Antony Lusekelo( Mzee wa Upako) niliyemfahamu kwa jina la SEKELO enzi hizo Wacheza Karatee aina ya GoJu Ryu wakiwa katika stence kujiandaa na shambuliziBaadhi ya wacheza Karate aina ya GoJu...
View ArticleBAA LA NJAA LAINYEMELEA NAMTUMBO
Mche wa mahindi ulionyauka kwa kukosa mvua eneo la Likonde NamtumboMkulima Ayubu Makuti wa eneo la Migelegele Namtumbo akiangalia shamba lake la mahindi lililoathiriwa na jua baada ya kukosa mvua kwa...
View ArticleGOLIKIPA DAVID BURHANI AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa Golikipa wa kutegemewa wa timu za Majimaji ya Songea,Prison na Mbeya City za Jijini Mbeya na hatimaye timu ya Kagera Sugar DAVID ABDALLAH BURHAN amefariki dunia leo asubuhi katika...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MKE WA DKT. MWAKYEMBE
TANZIA!!!Rais Dkt Magufuli akiweka saini kitabu cha Maombolezo kifo cha Mke wa Dkt Mwakyembe Kulia ni Mke wa Dkt. Mwakyembe Linna George Mwakyembe enzi za uhai wakeRais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMWILI WA MRS MWAKYEMBE WAWASILI MBEYA JIONI HII, MSAFARA KUELEKEA KYELA
Viongozi wa serikali wa mikoa ya Mbeya na Songwe mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa na Katibu Tawala mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja wakiweka sawa taratibu na...
View ArticleMAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MKE WA DKT MWAKYEMBE KYELA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wa Dkt Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe leo mchana nyumbani kwa marehemu kijiji cha Ikolo wilayani Kyela mkoani...
View ArticleSOKO LA SIDO JIJINI MBEYA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO JANA USIKU
Eneo la Soko la SIDO jijini Mbeya lilivyokuwa likiteketea kwa moto jana usiku Soko la SIDO Mbeya lilivyokuwa likiteketea kwa moto jana usiku
View ArticleNaViNjArI TaNzANiA- NILIPOTEMBELEA RAFIKI ZANGU WA KIMAASAI
Nipo na rafiki zangu jamii yaWamaasai tukibadilishana mawazoNimetembelea rafiki zangu jamii ya Wamaasai na kuzungumza nao mengi yahusuyo maendeleo ya jamii yao
View Article