MWENDESHA BODABODA AGONGWA NA IT NA KUFA PAPO HAPO
MWENDESHA BODABODA AMBAYE HAKUFAHAMIKA JINA LAKE LEO MCHANA AMEGONGWA NA GARI ILIYOKUWA IKIELEKEA NCHINI ZAMBIA NA KUFA PAPOHAPO BARABARA YA MBEYA TUNDUMA KATIKA ENEO LA OLD VWAWA WILAYANI MBOZI
View ArticleMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE YATOA UFAFANUZI KUHUSU UWANJA WA SONGWE KUITWA...
MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI BW. SULEIMAN SULEIMAN AKIZUNGUMZIA UGUMU WA KUBADILISHA JINA LA SONGWE KUITWA JAKAYA KIKWETEMKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE...
View ArticleVURUGU ZA UCHINJAJI 94 WATIWA MBARONI CHADEMA WATOA TAMKO
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA (HABARI HAWAPO PICHANI) KUHUSU MATOKEO YA VURUGU YA WACHINJAJI BAADHI YA WATUHUMIWA WA VURUGU ZA UCHINJAJI MJINI TUNDUMA...
View ArticleKAMPUNI YA KICHINA KUWAJENGEA UWANJA MPYA YANGA
RAMANI YA UWANJA MPYA WA YANGA UNAOTARAJIWA KUJENGWA NA WACHINA Ramani ya uwanja mpya wa klabu ya Yanga - Kaunda Stadium unavyoekana kwa ndaniKampuni ya Beinjing Cosntruction Engineering Group (BCEG)...
View ArticlePICHA ZILIZOMPA USHINDI WA EJAAT JOSEPH SENGA
PICHA HIZI ZINAONESHA NAMNA AMBAVYO ASKARI POLISI KIKOSI CHA FFU WALIVYOKUWA WAKIMSULUBU MAREHEMU DAUDI MWANGOSI NA HATIMAYE KUMFGYATULIA BOMU LILILOSAMBARATISHA KIWILIWILI CHAKEMPIGA PICHA BORA NCHINI...
View ArticleWASANII MBEYA WAZINDUKA, WAJIWEKEA MIKAKATI YA KUJIKWAMUA
KATIBU WA MUDA WA SHIRIKISHO LA WAIGIZAJI WA MKOA WA MBEYA SADY MWANG'ONDA AKIZUNGUMZIA MIKAKATI YA WASANII KUJIKWAMUA KATIKA KAZI ZAO ZA SANAA YA UIGIZAJI MKOA WA MBEYABAADHI YA WASANII WA SANAA YA...
View ArticleHATIMAYE MZEE MANGULA APATA JIKO
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA NA MKEWE MWALIMU YOLANDA KABELEGE WAKILA KIAPO CHA NDOA KATIKA KANISA LA KKKT LA MJINI NJOMBEWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIMPONGEZA MAKAMU MWENYEKITI WA...
View ArticleWAUZAJI WA MAGAZETI
BAADHI YA WAUZAJI WA MAGAZETI MKOANI MBEYA WAKIGAWANA MAGAZETI MCHANA HUU MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA KITUO CHA POSTA UHINDINI JIJINI MBEYA,WAUZAJI HAO WAMEKUWA WAKILALAMIKIA UCHELEWESHWAJI WA...
View ArticleWANAFUNZI CHUO CHA AFYA ST AGREY WAZOMEA WAANDISHI,WADAI WANATUMIWA KUPOTOSHA...
'' ONDOKENI HAPA HATUTAKI MTUPIGE PICHA MNAPOTOSHA UKWELI BADALA YA KUTETEA WANYONGE MNAPEWA VIJIELFU KUMI KUSALITI WANAFUNZI WANAONYIMWA HAKI ZAO,''NDIVYO ANAVYOSEMA MMOJA WA WANAFUNZI WA CHUO CHA...
View ArticleVIGAGULA VYADONDOKA KUTOKA ANGANI VIKIDAIWA KUWANGA NA KUKUTANA NA WEWNZ
KAHAMA:AMA hakika duniani kuna mambo! Na lisemwalo lipo kama halipo basi laja. Ni jambo ambalo ni vigumu kuliamini lakini ukweli wa mambo ni kwamba limetokea mjini Kahama, Mkoa wa Shinyanga, kiasi...
View ArticleWABUNGE WALIVYOHENYA JKT
MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE AKIPIGWA UPARA TAYARI KWA KUANZA MAFUNZO MAALUMU YA JKT KWA WAHESHIMIWA WABUNGEKUTOKA KUSHOTO HALIMA MDEE,ESTHER BULAYA NA NEEMA HAMID NI KAMA VILE WANASEMA ''SIJUI KWA NINI...
View ArticleMAUAJI YA KUTISHA YAFANYIKA TUKUYU-MBEYA
MTOTO HUYU MIAKA MITATU ALICHUKULIWA NA BABA YAKE KISHA BABA YAKE AKAMZIKA SEBULENI KWAKE AKIWA HAIMWILI WA MTOTO WA MIAKA MITATU BAADA YA KUFUKULIWA SEBULENI KWA BABA YAKE LILIKUWA NI TUKIO LA...
View ArticleNMB WATOA DARASA KWA MAMENEJA NA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI ZA SEKONDARI NA VYUO
MENEJA WA BIASHARA WA BENKI YA NMB SUZAN SHUMA AKIELEZEA AINA YA MIKOPO KWA WATEJA WA NMB WAKATI WA MKUTANO WA MAMENEJA, WAMILIKI NA WAKUU WA SHULE BINAFSI ZA MSINGI SEKONDARI NA VYUO, (TAMONGSCO)...
View ArticlePRISON YAIPIGISHA KWATA MGAMBO JKT YAITANDIKA BAO 1-0
 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akikabidhi kitita cha sh. 500,000 kwa kapteni wa timu ya Prison Fredy Chudu baada ya timu hiyo kuishinda timu Mgambo JKT ya Tanga kwa bao 1-0
View ArticleMULUGO AAGIZA KUSAKWA KWA MWALIMU ANAYEDAIWA KUTAFUNA 500,000 ZA UKARABATI WA...
MMOJAÂ WA WAJUMBE WA KAMATI ILIYOUNDWA NA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AKIAHIDI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU KUFUATILIA TUHUMA ZA WIZI WA FEDHA ZA UAKARABATI WA SHULEKAMATI YA WATU WATANO...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA BIBI YETU MPENDWA BI. KIDUDE
BAADHI YA NDUGU NA JAMAA WAKIUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU FATUMA BINT BARAKA MAARUFU KWA JINA LA BI. KIDUDENDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA MSANII NGULI MAREHEMU BI. KIDUDE WAKIOMBOLEZA MJINI UNGUJA JANARAIS...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 14 ASAFIRI CHINI YA 'CHASES' YA GARI KUTOKA DAR-DODOMA
MTOTO Joseph Dotto(14) AKITOLEWA KATIKA CHASES YA BUS LA KAMPUNI YA MOHAMED TRANS LENYE NAMBA ZA USAJILI T 433 BNG KATIKA STENDI YA MABASI YA MJINI DODOMA.MTOTO HUYU ALISAFIRI TAKRIBAN UMBALI WA...
View ArticleMEI MOSI ILIVYOADHIMISHA KITAIFA MKOANI MBEYA
SERIKALI imesema kuwa imeshindwa kuongeza kima cha chini cha Mshahara kutokana na mapato ya ndani kutokidhi mahitaji ya mishahara yote ya wafanyakazi nchini ambayo ni asilimia 44 ya bajeti nzima ya...
View Article