KILICHOMUUA ALBERT MANGWEA CHAGUNDULIKA- RIPOTI KAMILI-
Helen Joseph Hospital - Auckland Park, Johannesburg, South Africa.The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr. Shirley Radcliffe confirming that; Albert Mangwair died from: “Alcohol toxicity”...
View ArticleMADIWANI MBEYA WAPENDEKEZA JINA LA MKOA MPYA UITWE MBOZI NA MAKAO YAKE YAWE...
KIKAO cha dharura cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Mbeya kimependekeza jina la mkoa mpya wa Mbeya liwe ni Mkoa wa Mbozi badala ya mkoa wa Rungwe kama ilivyopendekezwa na wataalamu,wenye makao yake...
View ArticleUJUMBE KWA WANAHABARI
JUMAPILI, JUNI 2 NI MOJA KATI YA SIKU AMBAYO SITAISAHAU KATIKA KUMBUKUMBU ZANGU ZA KAZI ZA HABARI, NI SIKU AMBAYO IMENIINGIZA KATIKA HISTORIA NISIYOITARAJIA HATA KUFIKIA HATUA YA KUONA KUWA KUNA HAJA...
View ArticleSIKU AMBAYO NILIPIGWA NA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA NJOMBE MJI NIKIWA...
BAADHI YA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA NJOMBE MJI WAKIINUKA NA KUNIFUATA BAADA YA KUPIGWA PICHA WALIPOKAA NA WACHEZAJI WAO KWENYE BENCHI SIKU YA MECHI KATI YA TIMU YAO NA KIMONDO FC YA MBOZIILIKUWA...
View ArticleSIKU MWANDISHI ALIVYOPIGWA UWANJANI NA VIONGOZI WA TIMU YA NJOMBE
VIONGOZI NA WAPENZI WA TIMU YA NJOMBE MJI WAKISHIRIKIANA KUMPIGA MWANDISHI WA BLOGU HII RASHID MKWINDA,WAKATI AKITEKELEZA WAJIBU WAKE KATIKA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE JIJINI MBEYA, PICHA...
View ArticleBAISKELI YA KICHINA NA UWEZO WAKE
NATAFAKARI UWEZO WA BAISKELI HII YA KICHINA KUPANDWA NA MIDUME MINNE ILIYOSHIBA
View ArticleMEMBE ATOA ANGALIZO MBEYA JUU YA FEDHA CHAFU KUTUMIKA MAKANISANI UCHAGUZI...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BERNARD MEMBE BAADHI YA WAHITIMU YA WANAZUONI WAHITIMU WA VYUO VYA TEKU NA MZUMBE WANAJUMUIYA WA KANISA KATOLIKI WAKIFUATILIA KWA MAKINI HOTUBA ZA...
View ArticleNIMEWASAMEHE WALIONIPIGA NA KUNIVUNJIA KAMERA UWANJANI
NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU WOTE WALIOGUSWA JUU YA MKASA ULIONIKUTA WA KUPIGWA NA KUVUNJIWA KAMERA YANGU WAKATI WA MECHI YA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KATI YA TIMU YA NJOMBE MJI NA KIMONDO...
View ArticleBOSI MMALAWI ATINGA KIZIMBANI KWA RUSHWA YA NGONO
Bosi Mmalawi Evance Mwale akiongozwa na askari polisi kuingia katika chumba cha mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wa wilaya ya Mbeya alikoshitakiwa kwa kosa la Rushwa ya Ngono na Ushawishi wa ngono,...
View ArticleCHADEMA KIDEDEA UCHAGUZI WA UDIWANI KATA YA IYELA-MBEYA
MGOMBEA UDIWANI KWA TIKETI YA CHADEMA CHARLES CHANGANI MKELA AMEIBUKA KIDEDEA KWA KURA 1,918 BAADA YA KUMSHINDA MPINZANI WAKE WA KARIBU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA CCM RICHARD SHANGVI ALIYEPATA JUMLA YA...
View ArticleAFUNGWA MIAKA 30 KWA KUKIRI KOSA LA KUMNYANG'ANYA BUNDUKI ASKARI
Na, Bloga WetuMAHAKAMA ya hakimu mkazi wa wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha miaka 30, mshitakiwa kosa la unyang;anyi wa kutumia silaha,Ali Salum (32) baada ya kukiri kutenda kosa hilo mahakamani...
View ArticleMAAJABU YA DUNIA MTOTO AZALIWA NA MKIA UNA UREFU WA CM 8
MTOTO RAIA WA NCHINI CHINA MIEZI 7 XIAO WEI (PICHANI)AMEZALIWA AKIWA NA KIUNGO KINGINE KATIKA MAKALIO YAKE KIASI CHA KUIBUA TAHARUKI NA HOFU KWA MZAZI WAKE AMBAYE ANAFIKIRIA KUMKATA KIUNGO HICHO.MAMA...
View ArticleHATARI YA TAMKO LA KIONGOZI MKUU WA NCHI ADHABU ZITAKUWA ZAIDI YA HIVI!!!!
HIZI NI BAADHI YA ADHABU ZINAZODAIWA KUTEKELEZWA NA MAJESHI KATIKA BAADHI YA MAENEO KWENYE NCHI ZA KIAFRIKA, BAADHI YA WANANCHI WAMEELEZEA HOFU YAO KUFUATIA TAMKO LA KIONGOZI MKUU WA NCHI KUAMURU...
View ArticleSAKATA LA MGOMO WA WAHADHIRI TEKU WANAHABARI WASOTEA TAARIFA ZAIDI YA SAA MBILI
OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA TEKU IKIWA IMEFUNGWA WANAHABARI WAKIMSUBIRI MAKAMU MKUU WA CHUO KUTOA TAMKO JUU YA MGOMO WA WAHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA TEKUWANAHABARI WAKIWA WAMEKAA MLANGONI...
View ArticleHONGERA KWA TUZO FESTO SIKAGONAMO WA ITV/RADIO ONE
MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA RADIO ONE FESTO SIKAGONAMO(KULIA) AKIPONGEZWA NA MWANDISHI MWENZIE EZEKIEL KAMANGA WA BLOGU YA 'KAMANGA NA MATUKIO' MARA BAADA YA FESTO KUWA MIONGONI MWA WASHINDI WA TUZO...
View ArticleMTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATOA SOMO KWA WANAHABARI
KUTOKA KUSHOTO NI OFISA HABARI WA MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ELIAS MHEGERA AKIWA NA MRATIBU WA MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ONESMO OLENGURUMWA WAKIZUNGUMZA NA BAADHI YA...
View ArticleMAISHA YA "KITAA" KILA MTU NA KAZI YAKE
WAKATI WENGINE WANATUPA TAKA WENGINE WANAOKOTA KWA KAZI NYINGINE, MJINI KILA MTU NA KAZI YAKE, MZEE HUYU AMBAYE ALINYAKWA NA KAMERA YETU KATIKA MOJA YA MITAA YA JIJI LA MBEYA HUISHI KWA KUOKOTA...
View ArticleKIMONDO FC YAJIHAKIKISHIA KUCHEZA LIGI KUU, YAICHAPA POLISI JAMII BUNDA GOLI 3-1
WACHEZAJI WA TIMU YA KIMONDO WAKIPEANA MIKONO NA WACHEZAJI WA TIMU YA POLISI JAMII, KABLA YA KUANZA KWA MECHI YA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA KATIKA UWANJA WA SOKOINE LEO JIONITIMU YA POLISI JAMII YA...
View Article