MBEYA CEMENT YAPIGA TAFU UJENZI WA UWANJA WA KISASA WA MICHEZO WILAYANI CHUNYA
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akikabidhiwa mifuko ya saruji na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya saruji ya Lafarge ya SONGWE mkoani Mbeya ikiwa ni sehemu mifuko 1000 iliyotolewa na kampuni...
View ArticleRC KANDORO, OFISA UHAMIAJI WABARIKI SAFARI YA WANAHABARI NCHINI MALAWI...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas KANDORO akitoa baraka za safari kwa wanahabari ofisini kwake leo asubuhi juu ya ziara yao ya kimafunzo katika nchi za MALAWI na ZAMBIA katikati ya mwezi AgostiRC KANDORO...
View ArticlePINDA AZINDUA STENDI YA KISASA MBEYA, ATAKA MACHINGA WAPEWE KIPAUMBELE...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Stendi mpya ya Kisasa iliyopo mkabala na uwanja wa Nane Nane Jijini Mbeya leo mchana.Waziri Mkuu akiwapungia wananchi mara baada ya...
View ArticleMAONESHO YA NANE NANE,RC KATAVI ATAKA TEKNOLOJIA YA KILIMO IWAFIKIE WAKULIMA
Dkt.Rajab Rutengwe Mkuu wa Mkoa wa KataviShamba DARASA katika maonesho ya Kilimo Nane NaneShamba Darasa kwenye maonesho ya Kilimo Nane nane MKUU wa Mkoa wa Katavi Dkt.Rajabu Rutengwe ameshauri...
View ArticleMAONESHO YA KILIMO NANE NANE NA CHANGAMOTO ZAKE
Mahindi ni zao Kuu la Chakula kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambalo likilimwa kwa kuzingatia mbegu bora na mbolea linaweza kumsaidia mkulima akazalsha kwa tija.Shamba DarasaShamba darasa katika...
View ArticleWAFUASI WA CHADEMA WATELEKEZA MWILI BARABARANI BAADA YA KUVURUMUSHWA NA POLISI
Ezekiel King enzi za uhai wakeMbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu(kulia) akiwa na Mwenyekiti wa wilaya ya Mbeya mjini Joh Mwambigija wakiusukuma mwili wa marehemu katika toroli maalum la...
View ArticlePOLISI WALIVYOSAMBARATISHA WAFUASI WA CHADEMA WAKIWA NA JENEZA LENYE MWILI WA...
Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Itiji(CHADEMA) Ezekiel King ukiwa umetelekezwa baada ya askari polisi kusambaratisha wafuasi wa CHADEMA.Askari polisi wakibeba...
View ArticleMAONESHO YA NANE NANE LEO YAFIKISHA SIKU YA SABA
Uwanja wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane, Uyole Jijini MbeyaMkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipata maelezo ya utendaji katika banda la Shirika la Hifadhi ya Taifa NANE NANE jijini MbeyaMkuu wa...
View ArticleNHC MBEYA YAMKABIDHI MKUU WA MKOA WA MBEYA MASHINE 40 ZA KUFYATULIA TOFALI...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akijaribu moja ya mashine kati ya mashine 40 za kufyatulia tofali zilizotolewa msaada na Shirika la Nyumba Tanzania kwa ajili ya vikundi vya vijana kutoka...
View ArticleWAKILI SHITAMBALA ABURUZWA MAHAKAMANI ANADAIWA KUMFANYIA MAUDHI KALASINGA,
Mwanasiasa machachari na wakili wa kujitegemea Sambwee Shitambala(kulia)akiongozana na wakili anayemtetea, Tasco Luambano(katikati) na wakili mwenzao, Jackson Ngonyani wakitoka nje ya jengo la Mahakama...
View ArticleWAKANDARASI WANASWA WAKIIBIA MAMLAKA YA MAJI, WATUMIA MAJI BILA KUFUNGA MITA...
Jengo la ghorofa 5 lililopo barabara ya Lupa Uhindini Jijini Mbeya linalodaiwa kujengwa kwa kutumia maji ya Wizi Mamlaka ya MAJIAskari polisi wanaofanya doria wakioneshwa namna ambavyo wakandarasi...
View ArticleTIMU CWT MBEYA YAWAKILISHA 'WATIZED' MICHUANO YA SATO NCHINI ZAMBIA
Ofisa Tawala Wilaya ya Mbeya Geofrey Annania akikabidhi bendera ya Taifa kwa viongozi wa timu ya soka ya CWT mkoa wa Mbeya ambayo inawakilsha timu za Walimu za Walimu, michuano hiyo inaanza kufanyika...
View ArticleNAMNA AMBAVYO MAHAFALI YA CHUO CHA UUGUZI CHA FARAJA ILIVYOFANA
Wahitimu wa Chuo Cha Uuguzi Faraja wakicheza muziki kwa Step wakati wa mahafali ya Chuo hicho.Baadhi ya viongozi na walimu wa Chuo Cha Uuguzi cha FARAJA wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wa...
View ArticleTMF WATOA DOZI KWA WANAHABARI WA MBEYA
Mkongwe wa habari nchini Ndimara Tegambwage akitoa somo kwa wanahabari kwenye ukumbi GR Hotel mchana huuMtangazaji Mkongwe na mwandishi wa Habari Edda Sanga akitoa nasaha juu ya uandishi wa habari...
View ArticleSUGU AWASOMEA WAPIGA KURA ALIVYOTUMIA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akihutubia wananchi wa kata ya Maanga leo jioniWakati akiendelea na mkutano gari lililobeba askari wa kutuliza ghasia wakielekea lindoni lilikatisha katika mkutano...
View ArticleCHADEMA WAMLILIA MEYA WA JIJI LA MBEYA KIFO CHA MWENYEKITI WA SERIKALI YA...
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika mtaa wa Itiji.Askari polisi nao walivinjari maeneo ya mkutano wa chama hicho hali ambayo ilisababisha viongozi wa...
View ArticleNEMC WAHAMASISHA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWENYE MIRADI YA UZALISHAJI NA...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mazingira wakiwemo viongozi wa Baraza la Taifa la Mazingira NEMC wakuu wa wilaya na waandishi wa habariJUMLA ya miradi 124...
View ArticleWAFANYAKAZI TAZARA WATISHIA MGOMO BARIDI KWA KUTOLIPWA MIEZI MITANO
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi SUGU akipewa maelezo na mmoja wa wafanyakazi wa Reli ya TAZARA ambao hawajalipwa mishahara kwa miezi mitano. Baadhi ya wafanyabiashara wa Reli ya TAZARA...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MWANAHARAKATI, MDAU WA MAENDELEO NA MICHEZO LOVENESS...
Mume wa marehemu Loveness Ndibalema, Ngemera Ndibalema akipita kwenye jeneza la mkewe wakati wa kuuaga mwili nyumbani kwake Forest jioni hii.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na Mkewe...
View Article