ASKARI POLISI WADAIWA KUMFANYIA UTAPELI MFANYABIASHARA MBEYA, WASINGIZIA...
Makazi ya Mfanyabiashara Elfansi Sanga eneo la Airport Iyela Jijini Mbeya yanayowatioa udenda askari polisi na kumtapeli mamilioni ya fedhaMfanyabiashara wa Mwanjelwa Elfansi Sanga anayedaiwa...
View ArticleNINI HATIMA YA WASICHANA HAWA WALIOTEKWA NA BOKO HARAM
Picha za wasichana wanafunzi wa Nigeria waliotekwa na kuhifadhiwa kijiji kisichojulikana(Picha kwa msaada wa mtandao)
View ArticleSERIKALI MBEYA YATAHADHARISHA KUHUSU UGONJWA WA DENGUE
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja akizungumza na Waadhishi wa Habari hawapo pichani Juu ya Tahadhari ya Ugonjwa wa Dengue ofisini kwake leo asubuhi.  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa...
View ArticleHOFU YA CHATU YAZIDI KUTANDA JIJINI MBEYA
Mfano wa Nyoka aina ya Chatu(picha ya mtandao) ambaye anaelezwa kuwepo katika mto unaokatiza katikati ya Jiji la Mbeya Picha ya (mtandaoni) ya Nyoka mkubwa aina ya Chatu akimmeza Mamba, nyoka kama huyu...
View ArticleTANZANIA COLLEGE FESTIVAL YA MZUMBE YATIA FORA
Mmoja wa waratibu wa Tanzania College Festival Joan Kiggundu akisalimiana na mkaguzi wa polisi Samora Salaga aliyemwakilisha kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya katika tamashala la Vyuo Vikuu Jijini Mbeya...
View ArticleCHATU WA MBEYA ANASWA, YADAIWA NI MTOTO WA CHATU MKUU
Msaka Nyoka alipita kila eneo na kila mahala, mtoni hadi vichakani hadi alipomnasa Nyoka huyo aliyekuwa akitishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya.Mto Meta unaodaiwa Nyoka huyo aina ya Chatu kuwa...
View ArticleMBEYA ILIVYOFANIKIWA KWA BIG RESULT NOW(BRN) SHULE 11 ZA SEKONDARI ZAONGOZA...
Moja ya Tuzo zilizotolewa kwa shule ya Sekondari ya Wiza iliyopo Mbozi Mbeya kutokana na kufanikiwa katika BRNMkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipongeza Jitihada zilizooneshwa na shule mbalimbali...
View ArticleBADO NATUNZA HIZI SIMU AINA YA SIEMENS,MOTOROLA NA SAMSUNG ZA ZAMANI...
Kwa yoyote anayehitaji simu za zamani, bado nimehifadhi nimeziweka katika eneo salama zina uwezo wa kutunza chaji kati ya wiki mbili na mwezi
View ArticleUKAWA WANYIMWA KIBALI CHA MATANGAZO NA JIJI,WENYEWE WADAI WATAPIGA MATANGAZO...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini John Mwambigija akielezea azma yao ya kutangaza mkutano wa UKAWA unaotarajia kufanyika Mei 22Katibu Mwenezi wa CHADEMA Mbeya Mjini Baraka Mwakyabula akitoa msimamo wa...
View ArticleNHC MBEYA WACHANGIA BATI 320 ZA MILIONI 8 WAHANGA WA MAFURIKO KYELA
Mkuu wa wilaya ya Kyela Margreth Malenga pamoja na Mofisa wa NHC mkoa wa Mbeya wakibeba ikiwa ni ishara ya makabidhiano kwa bati 320 zenye thamani ya sh. milioni 8 kwa ajili ya wahanga wa mafuriko...
View ArticleMWANDISHI ADAI KUIBIWA VITENDEA KAZI KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI
Mwandishi wa Habari wa Clement Sanga mwakilishi wa Chanel Ten mkoani Iringa anayedai kuibiwa Laptop katika Hotel aliyolala.Mwanishi wa Habari Clement Sanga akiwa na waandishi wenzie nje ya Hotel...
View ArticleTFDA YAPEWA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI
Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Mbeya Leonard Magacha(katikati) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TFDA(kulia) wakati wa semina ya siku moja kwa wanahabari 120 wa mikoa 6 ya Nyanda za Juu Kusini leo...
View ArticleTFDA YATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA VIPODOZI HATARI MPAKANI
Mkuu wa Wilaya ya Momba Abihudi Saideya akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma wakati wa uhamasishaji wa kupiga marufuku vipodozi haramuBaadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Tunduma, Mwaka na...
View ArticleHABARI KATIKA PICHA
Wanafunzi hawa wa shule ya Msingi Mwaka na Mlimani mjini Tunduma, wakinywa maji katika bomba ya maji iliyopasukaBomba la maji lililopasuka katika eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma likiwa...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI SHOMI MTAKI KATIKA PICHA
Marehemu Shomi Mtaki enzi za uhai wakeNi kama alikuwa akiashiria kuaga ndugu zakeSafari kutoka chumba cha maiti Hospitali ya Wilaya Vwawa MboziSafari inaendelea kurejea nyumbani kwa ajili ya maandalizi...
View ArticleKIONGOZI WA CHADEMA AFARIKI GHAFLA BAADA YA KUANGUKA BAFUNI
Marehemu Adam Msyaliha aliyekuwa Mwenyekiti wa Programu ya Chadema Ni Msingi Mbeya mjiniMarehemu Adam Msyaliha enzi za uhai wake MWENEYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Programu ya ‘Chadema Ni...
View ArticleMBEYA CITY WALAMBA UFADHILI MNONO BINGO YA MILIONI 360 KWA MIAKA MIWILI
Mkurugenzi wa Binslum Company Mohamed Binslum akiangalia jezi zenye mwonekano mpya za timu ya Mbeya City huku Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya akiangaliaMkurugenzi wa Binslum Mohamed Binslum akisoma...
View ArticleSUMATRA SASA KUFUTA LESENI ZA WASAFIRISHAJI WA ABIRIA WALIOGOMA MBEYA
Utoaji huduma wa usafirishaji kwa magari binafsi umepewa ridhaa na vyombo vya dola baada mgomo wa daladala Jijini Mbeya hapa Askari Trafiki akiongoza magari yanayobeba abiria katika Stendi ya Daladala...
View ArticleMBUNGE WA MPANDA VIJIJINI ATOA MSAADA KWA WAPIGA KURA WAKE
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Vijijini Moshi Kakoso akimkabidhi msaada wa vifaa vya umeme mmoja wa walimu wa Sekondari Karema kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi wapate fursa ya kujisomea nyakati za...
View Article